Ruto and Omanga ( mayai tamu )

The production of Laikipia’s BJ-50 cars seems to be making good progress. You will soon have them in a variety of colors.
100% Kenyan-made car.

Kenyan youth to be assisted to purchase this to sell boiled eggs as we meet SDG goals.

[ATTACH=full]333169[/ATTACH][ATTACH=full]333170[/ATTACH][ATTACH=full]333171[/ATTACH][ATTACH=full]333172[/ATTACH]

:smiley:

parking fee ya io kitu itakuwa how much?

Hii ni ile unakufa kama mwanaume halisi :smiley:

Ksh 400 nms discount rate

@digi kïhiiiiiiiiiii humbwa koko taktaka ya manispaa chiet ghaseeer ibilisi mkuu hii ilichambuliwa kabla uzaliwe

:D:DNa pia muturwa, motokubwa and squad ur work will be Auto

:D:D

sijui kama ni 8-4-4 but kenyan ‘‘innovators’’ have an almost erotic obsession with making things from scratch. what is wrong with importing quality ready made parts and assembling…very sad.

Kunja mkia ibilis mkuu

Nitakusaidia kumaliza hii shaitan.
Nipee digits mtunguyaz.

Digi wacha uhii. Ruto na Omangwa wanaingilia wapi hapa?

Wheelbarrow movement advancing.

Hio kitu inakaa tetanus

Hii kitu na mkokoteni hakuna tofauti juu mara nyingi utapata ikivurutwa.Just saying.