Ruthless Meria

It seems in the kijiji ya wazee one is not allowed to criticize the site owner Meria.

Can someone ask him to do a full ban then to allow us log out of their website completely.

[ATTACH=full]276140[/ATTACH]

Meria chieth na d minus material ni maumbwa sana

Huku hawataki hard tackles, na career ending sweeps…

What did you guys expect? Wazee wame invest kwa kijiji mpya to enjoy their cool as they watch their lives fade away then mnapeleka ujinga yenu with threads like nani ameonja huyu? Hamuoni venye digi alikunja mkia with his baited ish! :D:D

Tulisema Chieth ya huko ibaki huko

Kimakia kalienda huko kakijipiga kifua kakapigwa RKO kaka dissapear from both villages.

I can tell u guys for free those bans/suspensions are not bn done by Meria. I have been looking at your compaints here na nikafanya 1+1 nikajua kitu. Wait for it… @Supu don is a mod there and yeye ndio anawapea hizo suspensions. Alikuwa na hio hio tabia pale Klost. Kumbuka pia supu ni wa coast/mombasa kama Meria…so lazima meria alimpatia hio cheo.

Wachaneni na wazee ukweli huwapatia high BP hawawezi vumilia utoko.

It’s good that the “old klist/ktalk” culture is confined under quarantine to one place. Here.

Huko tunaingia once a week(Sunday) kutafuta threads ziko na more than 5 replies(very few threads achieve this) na kutoka till next Sunday

Hio kijiji I was the first one kutupwa Siberia maximum. Hio itakuwa Kwa books of history.
I told those old chieth to delete my account.[ATTACH=full]276150[/ATTACH][ATTACH=full]276151[/ATTACH]

[Insert “Wtf you lying” meme here]

It was @captain obvious

Yes, it was I. I proudly hold that distinction. @Wanaruona shame on you for lying so blatantly to honorable members.

Hiyo kijiji ya wazee inaitwaje?

You also seem to be MIA there.

Senate

Huko hakuna kuweka nanisensi. Thread yangu ya kwanza wakati wa facelift ilifurushwa mbali sana. Tokea hapo nimekuwa commentor tu mtiifu.

Why are people talking about this crap?

Mimi nashindwa watu walitoa wapi nguvu ya ku-register to such a ghasia meffi site

:D:D