Ruracio

Sasa this weekend i took my boy to this event, ameamua kusettle na single mother, sasa time ya negotiations, ati anafaa kulipia mtoto mwenye sio wake, jeez

How does this concern us?

More specifically how does this concern him? He’s just there to ruracio and go

Ruracio huwa na vituko…niliskia hadi a man gets fined for breaking a woman’s virginity…labbish tupu…kwanza kukiwa na maelders wahungry, the chick won’t end up marrying…they are full of bs…!!
in your friend’s case they probably think he’s the dad…and if not, wanataka tu kukulia…

Further that is no ruracio. Ni gicambio of our culture that the poster is after. Shindwe.

Kuna mburi kuguru

Mimi sikulipia…walikuwa happy sana kwanza… Nilitoa tu consultation ama tutaiita membership fee.

Ata wewe umeoa single mother ?

sai si single tena…she is a mother of 2

The problem with ruracio, if you don’t pay you kids will pay

But ulioa akiwa na mmoja mwenye sio wako, sivyo?? How is the going?? Mtoto mwenye sio wako akikuwa mtundu what happens?? You must be hearing a lot of “Unamuonea juu sio wako” statements :D:D

Mimi niliponea huyo lead elder alisahau akaruka iyo part na ukishacross hakuna kurudia nyuma

haijafika huko and am sure that wont be even the biggest handle in this marriage.

Do you discipline the stepchild?? Yes or No.

Do you have kids in the first place?

Jibu swali kwanza stop dodging

Ukiamua ni kununua mbuzi ata kamba yake usiiache nyuma.

Mtoi akisema anataka kuona baba yake utafanya nini, niko na mtoi somewhere in form 1 whom i started bonding with this January, akiwa holidays tunaongea kwa simu on daily basis and she’s a girl.

Hana neno pamba…atamwona tu.

I’ve taken the responsibilities of paying her fees na kuenda her school meetings can’t allow someone to do that, hope you raise him/ her as your own.