Running battles

between police and residents in ‪‎Dandora‬ as residents protest closure of road to dump site.
If you zoom in you can see @Jirani
[ATTACH=full]24966[/ATTACH] [ATTACH=full]24967[/ATTACH] [ATTACH=full]24968[/ATTACH]

6 Likes

Mi naona majirani wengi wa Dandora Dusseldorf city wakiandamana…

1 Like

Ndio maana @Jirani amenyamaza sana

2 Likes

@Jirani umetukanwaa…mzito ametukanwaa…waaaah

@Jirani pekee anaprotest level 119 ya candy crash.

Pic 2 hapo juu kwa gorofa

2 Likes

Hehe anashine macho hapo chini akicompose hekaya ya kesho.

1 Like

Wrong. @Jirani anakuwaga na kiherere, ndo huyo ako na top ya red kwa mbica #1. Sijui kama ni mawe amebeba

1 Like

kiherere mwoga ndiye anachocha majamaa ati “tweendeni” but he is strategically placed nyuma ya wathii ndio akitoe at the first sight of teargas…

Pic 2 naona @uncle nyam hajatoa checked shirt siku tatu anasema UPUSS…kumbe anakuaga tu sufferer wa kawaida…

3 Likes

http://www.kenyatalk.com/index.php?attachments/1937051_428190950703152_5505732555990199010_n-jpg.24968/

Jirani spotted

[ATTACH=full]24974[/ATTACH] [ATTACH=full]24973[/ATTACH]

You guys mnadharau @Jirani sana. Hamjui jirani ni mzito wa kitsuru hivi hivi?

2 Likes

Mr chezachini/ chezandogo @Jirani ni nyapara WA phase 4 Dandora.

@gashwin nisikuone kwetu dandora nugu hii ukikujia ule githeri funga wako

3 Likes

Githeri funga, hahaha, @gashwin watch out. Take that threat seriously

1 Like

he he…anajua ni empty threats. anajua naweza mfungia mfereji home county asote…ama aje @uncle nyam?

1 Like