Rumours of war

Hao maboda ni wajinga tu jioni ndio wanabebanga madere na konkodi kuwapeleka kwao na bado wanaharibu pale chakula inatoka ,bado hao na stunts zao zakujaribu kukata gari mbele alafu ateleze hawajui nduthi na gari ni vitu tofauti

This is an extreme outlook.

The young guy who was knocked down was not a kid but a mechanic on a bike who was trying to cross the road on the wrong side… He was hit by a side mirror and fell hard on the unforgiving tarmac. I know the owner of the matatu he is young man who took over the family business… That matatu was due for sale last week.

2 Likes

Shit happens

1 Like

Hawa wasee wa nduthi huwa wajinga sana. Mmoja amescratch mlango ya gari, side ya left, instead hata asimame he is busy running and screaming ati tunamwua. Niliskia kama nimkanyage.

No one is hollier than thou between the two groups

Fate is very unforgiving

Wakati boda zilianza, kulikuwa na vita kubwa btwn them na watu wa cabs over mashimo. Wasee wa cabs hawakutaka kuona boda bodas karibu na mashimo zao, wasee wa boda won this one. Wacha tuone vile itaenda na wasee wa mathree

1 Like

Fundi Wa pikipiki @introvert kuja utoe maoni.

2 Likes

Ile mat ya pinpoint jana usiku ilichomwa vibaya sana after kuua mtu wa nduthi[ATTACH=full]81867[/ATTACH] .[ATTACH=full]81868[/ATTACH]

This guys got to be tamed, the sooner the better, whenever they are going to a funeral they take over the whole road and harass innocent motorists while screaming like maniacs

2 Likes

On the other hand, nduthis are always shoved and pushed to the end of the road always. When on the road for example, when I want to overtake and the road is clear only an oncoming nduthi, i go ahead and start overtaking and flush lights on the approaching nduthi to swallow his pride and hit the footpath! This is a stunt pulled by many a driver who grace our roads. The gang approach of nduthi guys hence compensates for this one factor.

What about those who overtake on the left at full speed, unaslow down kushukisha mtu alafu nduthi inapita ikiwa mia

3 Likes

Niliona passenger mwingine alikuwa akishuka punde si punde akagongwa na nduthi hiyo design hapo Manyanja road.

Kweli boda wanasumbua.
Even I avoid them.
Lakini pia kuna mafala wa personal.
Mtu anakusumbua na gari yake is worth less than half the worth of your bike.
Kuna mama mijinga alinigusa nikiwa na Introvertess Langata Road halafu akapigia bwana yake. Mzee akifika na Fielder anapata wakiuza gari zote mbili ndio watatosha unga.
Sometimes we ride not because we have to, but because we like to.
Share the road.

11 Likes

Police statement, they want to avert the war
[ATTACH=full]81878[/ATTACH]

kuna beshte yangu alichotwa design hiyo kileleshwa.

Kumbuka pia waliwahi choma basi la Guardian juzi tu, I think around Narok.

1 Like

Na Nissan kaa tatu Kisumu

hii ndio shida nyingine…mtu akikalia kiti ya dereva anajiona mkubwa sana…eti anataka kufunza kila mtu tabia…nduthi pia ako na right of way…according to the highway code ya kenya…unafaa kumpita kama gari ya kawaida give him enough room…