Wakuu habari,kiukweli hawa jamaa sahv watakuwa wanajuta sana wametoa mamilioni ya pesa zao kugawia wanasiasa lakini hawana msaada kwao tena kweli duniaa tambara bovu
Ndivyo ilivyo malipo hapahapa duniani
Nalog off
Kumbe Seth ako na mwili mzuri tu, pesa za IPTL zilimfanya awe na mtumbo mkuuubwa!
Ila ningependa maafisa wa serikali waliohusika nao wawe mahakamani maana hawa wasingeweza kuiba mali ya umma bila msaada wa maafisa/wanasiasa.
[FONT=courier new]Wanapata malipo ya Jeuri na Nyodo zao walizokuwa wakizifanya awamu ya Nne huku ’ wakichekewa ’ tu. Kama kuna Watu ambao hata siwi ’ Mnafiki ’ kusema kwamba acha ’ yawakute ’ yanayowakuta sasa ni hawa Watu wawili. Kuna walionyanyasika, kuteseka na kudhalilika mno tu kupitia Wao ila wote walimwachia Mwenyezi Mungu na sasa majibu yanaanza kuonekana.
Tujifunze kuishi kwa kiasi hapa duniani na tuache ’ Kudharau ’ Watu huku ’ tukiwanyanyasa ’ kwa Utajiri wetu / Pesa zetu maana hatujui Kesho yetu itakuwaje. Kuna mmoja hapo ( simtaji jina ) kuanzia Mke wake na Watoto wake wana dharau hakuna mfano na walikuwa na kila aina ya nyodo. Najua Watu wa maeneo ya Makongo, Survey, Chuo Kikuu na hasa hasa Changanyikeni mtakuwa mnanielewa vizuri sana hapa.
Ahsante Mungu na ama kweli nimeamini kwamba siku zote malipo huwa ni hapa hapa duniani tena ukiwa hai.[/FONT]
Hivi joka lenye makengeza huwa linatumia mbinu gani kuepa mkono wa sheria?
Umeshawahi kutafakari,wizi walioufanya ni watu wangapi wamepoteza maisha kwa kukosa huduma za msingi kwakuwa tu hela zilizohitajika zilikuwa mifukoni mwa wajanja wachache…?
Hao ni chambo tu, ila ma-don wenyewe wapo mtaani wanaendelea kupiga pesa…
Cc: @Mahondaw
Alicheza na sheria vizuri kiasi kwamba alichokuwa anapitisha anakuwa nyuma ya wale katiba isiyo washitaki.
Uko sahihi sana kuhusu nyodo za hao wana Makongo…Urbanization project ya Makongo chini ya Prof “Pesa za Mboga” ilikuwa na msukumo wa mmoja wa hao watuhumiwa!!
“Wa kunikamata yupo! Wa kunifunga hayupo!”
[FONT=courier new]Nashukuru sana na mno kwa Kunielewa Mkuu.[/FONT]
:oops::oops: Are they on hunger strike? Kweli wanapata dawa.
wanapata tabu sanaa
Rugemalalila alikula maisha wao ndiyo walikuwa na Deal Import Heinken Beer hakuna ruksa mtu yoyote kuimport nakumbuka ikifika zamu ya jumuya inafanyika kwake basi inakuwa kama misa watu watakula kiansha kinywa na chakula cha mchana na heinken za kutosha.
Yuko wapi Waziri wa Fedha wa wakati huo?
Yuko wapi Katibu Mkuu Wizara ya Fedha wa wakati huo?
Yuko wapi Mwanasheria wa Wizara ya Nishati na Madini wa wakati huo?
Yuko wapi Paymaster General was wakati huo?
Yuko wapi Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini wa wakati huo?
Yuko wapi Waziri wa Nishati na Madini wa wakati huo?
Yuko wapi Gavana wa Bank Kuu wa wakati huo?
Napenda kuuliza hawa watu niliowauliza hapo juu wanasimama wapi kwenye saga hili la Escrow Account?
Kwanini wako uraia hadi sasa wakati ndio walioruhusu mabilioni hayo yatoke Banki kuu?
siasa mchezo mchafu smart
kumbe wamekonda hivi sasa naamini kweli wamefungwa :D:D Joka la makengeza
Mkuu lile sio tumbo tu jamaa ana puto mule tumboni
[FONT=tahoma]Duh…mzee wa watu kaisha madevu yamemsheheni singa naona baloon limeisha nae ngome sio kuzuri hata upewe nn kunyimwa uhuru hakufai JF ilivyozimwa watu siku kadhaa tulikosa amani ya mioyo yetu shukurani kwa jirani zetu.[/FONT]
Wamependeza sana.