Rugby Players and Fans

Create a forum for Rugby under sports…
Sijui kitu kuhusu football wala kubet. Atleast we get to talk Rankings za Kenya Cup ESS na league zingine…

kwanza sheherekea hio win yetu against fiji.

Mukiongea hivi pia sisi tutaitisha sekshen za agribusiness, stocks,real estate- but then again mutaniambia hii iko under 'business.

Kwahivo tulia, yako iko 'sports