Room Heater

Wadau,

The cold season is biting hard and I can no longer endure it.

Please recommend a reliable heater to keep a man warm…

nonsence…
[ATTACH=full]372154[/ATTACH]

Hii ni suffocating tu

Choose one and supply with a pot of boiled beans.

Kukona anti peasant hot rooms, Installations utaitana…
Or uwe ukikaa karibu na this dot com Jiko goes for 4k i think

huwezi kosa machine ya kuchemusha hewa kwa reputable electronics shop ama hata super

umbaya zinakuwanga 2000W

sasa vaa thermolite za mtush bila kusumbua

Tafuta ino ni momo. Na utakuwa sorted.

Bought one ya Ramtons. Hii kitu inameza units kama nonsense. Units I use all month ziliisha in like 4days.
No wonder manufacturers walihama Kenya. Our power bills ain’t no joke.

Mujamaa tafuta kitu kama hii pale Carrefour and thank me later,

[ATTACH=full]372171[/ATTACH]

Wacha umama nani. Mwanaume ni kukaa na vest.

:D:Dniko tigoni… baridi haiwezi kubali

ahsante sana chief

for how many hours do you use it?

buy a radiant heater - zinakuanga na oil ndani which stays hot for a good few minutes hata ukizima. economical and very safe against catching something on fire

Swali ni, how do students hapo kwenu survive? Naona staffroom na ofisi za walimu zina hizi heaters. Classrooms na dorms zii.

Chukua hii reformed hekayarist amerecommend.

Unapewa momolicious unakataa.
Chukua hii,weka kwa room ,funga milango ndo joto isihepe,[SIZE=5][COLOR=rgb(239, 239, 239)]don’t take my word for it:D:D[/SIZE]

What happened to shuka ya maasai, sasa ukienda mahali ka nyahururu ama eldoret si utakufa na homa

Very useless. Those heating bars die one by one

Tigoni wapi