Rongai Lions

poor mutina. Seems walevi huko know better than walk home late at night

Hiyo area nikiwa campo nilikua fala used to walk all the way hadi Maasai lodge resort huko ndani na kienyeji yangu tukipiga story na ma slippers weekend. Rodi yenyewe ilikua inapita kando ya fence ya national park imeanguka hata huwezi iita fence. Hatukuwahi fikiria tunaweza patana na simba ama fisi. Nyege tu zilikua kwa kichwa tupate ka place tutulie tukipiga story haziko

2 Likes