rongai cheap lodgings

wadau wa rongai wapi nitapata keja safi ya below 2k. iko mtu anadai mti, mali ya kawaida tu, kwa hivyo sitaki high end spots.

Uliza watu wa nduthi ama makanga

Mwambie aende Karura or Elburgon. Miti ziko kwa wingi uko. Utabaki kulemewa na PNC and paranoia mwenyewe. Be wise.

Tombea kwako kaka

1 Like

Olive or Twist lodge have nice clean rooms for 1 k