Leo anachesa poa. Man Utd 3: Sherif 0
Sadness of life ni ati right fullback wa Sherif anaitwa GUADES
Leo anachesa poa. Man Utd 3: Sherif 0
Sadness of life ni ati right fullback wa Sherif anaitwa GUADES
Penaldo is finished. Had forgotten Leo kuna game. Wacha nifike local
So far game iko swafi. Man U inadominate visuri though kidogo wang’owe kijana yetu Casemiro meno buana
Kwani kush una watch game kwa ps… kama @uwesmake :D:D
Game iko nil nil
CR7 angepewa nafasi ya Choupo-moting pale Bayern angesmash na sio tafasali
Predikshen banae … Man Utd 1: Sherif 0. Bado mbili apo second half alaf bas
Wacha Leo tuwapige booster juu tusha lose against psv. Arsenal wanadai kutupatia pressure na tulikuwa tushaanza kusahau the taste of defeat or draw…(very painful :D).
Huyo Dalot ame nyakua hio right back roho Safi. Wan chieth Bissaka hio ghaseer irudishwe reserve. They fool can not cross the ball to the D. Neither he cannot defend KAZI ni kukimbia kama wazimu.
Kulambishwa muarubaini once in a while sio mbaya, unakunja tu uso alaf unasonga mbele
Unaweza na hiyo prediction pewa chupa mbili baridi na lanye hapo kando
Zikuje buana. Kwanza kuna mdenge moja nacheki ile side ingine ya club acha nione itakuwa kuwa aje
Mtapeli hii ndo ile nlikuwa naponga kuhusu.
[ATTACH=full]474884[/ATTACH]
Timú ni njegaa.
Biu biu
@kush yule mnono hio game ya man u ilikuwa repeat :D:rolleyes:
Hio predikshen yako ilikuwa bahali yake
Umekua nabii…
Noma ata kushinda deputy jesus
Leta predikshen za next epl fixture.
Tulia zitakuom in good time
Shaw’s contribution this season is very understated. Rivaling even Bruno in playmaking