Wacha nione kimtu kikisema sijui tuliona
Sijui upuss
sijui umama
sijui vitu za facebook/whatsapp zibaki huko
Sijui hatuwes click
Sijui polmos grow up.
Wacha nione.Mtanitambua.
Enjoy the video.
[ATTACH=full]184479[/ATTACH]
Wacha nione kimtu kikisema sijui tuliona
Sijui upuss
sijui umama
sijui vitu za facebook/whatsapp zibaki huko
Sijui hatuwes click
Sijui polmos grow up.
Wacha nione.Mtanitambua.
Enjoy the video.
[ATTACH=full]184479[/ATTACH]
Sasa ukiweka ban on “tuliona batallion” unataka tufanye aje? Juu enyewe ukweli tuliona. And wewe ni mkenya. Hii ni ya angola as the flag proves
Tuliona kabla SONKO aharibu picha ya Obama Na Uhunye
Some guy and lady are dancing salsa or something close to it called zoomba.
Enough with this kubomoa kabati thing.Kwani tutashindia kitu moja kila siku.
Then it leads to what?Malizia:D
Unaedit comment yangu Kwa Nini?
muzu
Musuri sana. pendera ya Angola inafanya nini hapo?
very good dancers
kwani hawa watu hawakuli ? wamekonda kupindukia
Hope the video has the original music not the fundamentos
he he …i was fearing kajamaa katamkanyaga msichana mguu.
Haha that’s actually kind of cute.
Una edit comment yako alafu una kuja kusema nime edit.
Hii niliona long time ago when satan was a boy
Huyo ni @kahuhu?
i will never recover those two minutes of mine.
kabla Obama ajue yeye ni mkenya
Real men dont eat bones @LIEN circa 1899
Anakaa familiar?