Roasted Pork Recipe

  1. Put nyama ya Nguruwe in fire
    [ATTACH=full]200619[/ATTACH]

  2. Choma as u geuza geuza nyama ya nguruwe
    [ATTACH=full]200620[/ATTACH]

3.after 40minutes it will be ready
[ATTACH=full]200621[/ATTACH]

  1. Serve with ugali and mbonga.Bon appetit
    [ATTACH=full]200622[/ATTACH]

iyo ugali ni kidogo

Unakula kidongo kwanza alafu unaongeza baadaye

Wapi Guacamole?

What is that ama unanitusi?

umeamua utese watu?

:smiley: yenyewe wewe ni Mbuzeer kabisa. Si utumie Google gathee… Nikii saa wa meni…

a thick sauce or paste of
seasoned, mashed avocados, served as , in salads,

unachoma nyama ndani ya nyumba? ama tuseme ni balcony?tuwachie hapo

Just tell him kachumbari

Ata wewe umepika nguruwe? Whole afte nimeshinda kitchen. Chief Chef @Budspencer welcomes you to early dinner[ATTACH=full]200625[/ATTACH]

Which country are you in?

hii ndio DIY kitchen edition.

Country? UG county, Kenya.

Nani ataambia huyu ‘nikii saa wa meni’ ni so 1993?

Right next to: Sasa? Fit!

Bonga? Fresh!

And then you did this shit here or a version of it:

[ATTACH=full]200627[/ATTACH]

And rocked this shit on your head:

[ATTACH=full]200629[/ATTACH]

better ungechomea kwa pan

then weka tomato sauce na chili kwa pan add mananasi then ikiboil rusha hio pork hapo na umix for kitu 5 minutes, thank me later haha

Hio pork umejaza thyme. Najua taste ya pork imepotea

unamwambia saa zile iko kwa tumbo na ameshika toothpick akingojea news?

Nguruwe kama hio hata hutafuni ni kumeza tu one touch, hata kama haijaiva. Unachapa hio sembe left to right across the sukuma wiki… shieeet… ongeza saucer nani! Na maji baridi!

.

Kwanza nguruwe choma halafu iguze white cap… haiyaiyaiyaiya. Case closed.

Na kamukimo ka green ama ile ya njugu. Na iguzane na kachumbari ya nyanya haijaiva saaana.

Nimeweka after kutoa kwa oven. Haijaingia ndani ya steak