Road trip update

Nairobi, nyahururu, limuru ruaka now at Herisquire club opp Three kirubi rivers for lunch. Kama uko around, njoo unyue soda. Kama uko K U ntakua hapo saa kumi. Sema nilete chipo ngapi

1 Like

herisquare has great nyam chom…

But real expe. 1200 kilo.

@uwesmake kuja upeleke deposit ya dowry herisquare

1 Like

HAO mungiki wa herisquare walinibore

1 Like

Hehehe. Yaani unausa mrembo in my absense bro

2 Likes

@mabenda4 pls pass by ndarugo for some kiwano

1 Like

road trip na ile Peugeot?

[ATTACH=full]17712[/ATTACH]

Am in Helisquare. Nitajua mabenda aje? Am hapo after pool table with 2 children. Nakunywa something red.

1 Like

Niko hapo kwa life band

1 Like

Wachonyi husema…" Ata coke ni soda lakini fanta ni soda zaidi."… I find it funny but they believe they cannot get satisfied unless they take a fanta.

[ATTACH=full]17718[/ATTACH] [ATTACH=full]17718[/ATTACH]

Uncle @mabenda4 make sure umetuwekea mbisha ya hii kitu

2 Likes

unataka ku.wank ama?

wewe shetani. tokomea kabisa

Are you the guy in shorts taking a Tusker?

1 Like

Lakini sipendagi hii tabia ya grammar nazis lakini pewa rusungu jpg on top of the tusker :D:D

Io umesema apo ndio band gane???
https://encrypted-tbn3.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcRfTBKel-oZNerg0XFSw82yhbUG9A74KYPB8u0zQn7W_PaxB9VsXQ

2 Likes

Uncle mabenda hii ni yako [ATTACH=full]17730[/ATTACH]

1 Like

mlipatana?

1 Like

Guy went silent after I spotted him.

Niko na mbisha.