River Road

Bado makarao wako radaa ya wasee wanatoka mancave ama wamechorea kidogo?

[ATTACH=full]185496[/ATTACH]

Nyonga ulale

kwani unanyesha??
mbona unasumbua ivi??

Unaenda saa mbaya. Between 8pm - 1am ndio blunder

Time gani ndio hawako?

KEINO

Bado wanashika watu