Jamaa ameweka Power bank kwa mfuko na iko ON ina charge simu…fala pia alikuwa anatembea na kuna solar mbaya… Kuna kitu inaitwa manual mtu yangu…take time kusoma precautions kwa manual ya eletronics u buy. The manual has a precaution warning u not to expose the power bank in an unsafe environment such as high temperature or humidity. Fala imeweka power bank kwa mfuko & puts it on na kuna joto…What else did he expect
See mdomo kauka
[ATTACH=full]11094[/ATTACH]
See Trouser…upararo nayo
[ATTACH=full]11095[/ATTACH]
[ATTACH=full]11096[/ATTACH]
[ATTACH=full]11097[/ATTACH]
HII ndio ubaya ya Technology kufikia watu wa Ocha kwanza interior kwenye hakuna stima…Deserves two hot slaps