Rise of the Machines

https://www.youtube.com/watch?v=tF4DML7FIWk

Oooookay

Alright, mimi nataka ya kulima /kuchimba shamba.

Nikipata spare cash nadai kuassemble drone ya kuspray agrochemicals

Vitu zitatusaidia kwa ground. Kama kuchunga ngombe hivi.

ya ngombe iko hapa