Risasi 46

A Fortnight ago, I was coming from CSR services that I conduct during the weekends hapo 1960 mtaa. Kufika place inaitwa Mihango, a black rush and a Subaru outback blocked our Sienta. All over sudden, a white fielder ikakuja from the opposite direction, briefed the guys in the Subaru and the Rush and speed off.

The Subaru and the Rush zikaanza kuenda towards a place called SDA kwa mradi (mahali Kina Uwesmake wamegrab) uwes nadai Puppy by the way niko na 10k. Jamaa wa Rush akatoa a brand new bullet proof jacket akavaa akendaga. Huko mbele a probox ikaenda mbio Sio ya kawaida leaving us in limbo.

Fast forward. Leo Ndio story nimeskia. That fateful day, four vijana in a motorbike had killed one police officer. Sasa hiyo ilikua reinforcement. Three of the boys managed to escape but mmoja akakimbilia nyumba yao. He was traced hadi hapo. Wale ma sinya walikua wameogopa kuingia kwa ile hao. The guy in the rush was the most ruthles and fearless Anaitwa stupid (schupit). Jamaa alienda huko akangoa mlango using an AK 47.

Kuingia alingia solo. Akaanza kusaka kijana. It took him like 15 mins to check and re check the house. In the last sweep akamua kuangalia kwa sink. Vualaa kijana was there. Alitolewa hapo na bullet. To cut the story short, alilipwa a total of 46 bullets. Alikua anabebwa na blanketi. Coz hakukua na place ya kushika.

Schupit akawacha amechoma Kila kitu kwa hiyo nyumba hadi a 70 inch smart TV na Boxer 150 Cc brand new.

11 Likes

Hutaki tujue unaishi peasant estate… Isorait. But ni poa alikula hizo ndengu zote. Hao watatu watafutwe wamalizwe. @schupit = @pamba

16 Likes

wacha wakufe. TOJ

1 Like

Baba mimi ni Landlord.

8 Likes

Hizo nyangau tatu hazijapatikana?

Ni juu ya uchungu ya colleague kuuliwa

kama kamjesh yako inauwawa badilisha tabia ama ukule ndengu

1 Like

Wapewe risasi with extreme prejudice

Waiguru na kabura pia wawekwe kwenye most wanted list

are you the @Uncle Best

1 Like

Hio ni good “terror”…wale wengine waskiskia hii story watachange for the betta hopefully

na mbona hawakushika huyo kijana aseme kule wenzake wamejificha

schupit = @pamba

:D:D:D:D:D:D

1 Like

wueh izo mbembe zote za nini na most probably mjamaa alinyuria on the 11th bullet

blueline chocha tuu,ile siku unarusha inspekta mawe ya ndarugo atatuma kina pamba na watakam hadi na media kuona “mwizi sugu akimaliswo” hehe

3 Likes

Mmoja wa hao alihepa anaitwa Mwanee…the son of a police officer…I’ve seen Hessy post about it…Hio next week hao ma vijana wakeanda revenge mission ndio waka shoot that CID kwa ile bar the pic was posted here sometime back

1 Like

Kuna polisi anaitwa hessy wa kayole he is not playing with these thieves… Barely two day ago he warned this nigga …Here is the aftermath!!!
[MEDIA=facebook]1857437484543590[/MEDIA]

11 Likes

Huyo Hessy akikumulika then it’s advisable to just start writing your last will and testament. Just put your affairs in order, coz it’s a wrap for you.

3 Likes

Hio ni police radio iko hapo…ni ya kutisha raia ama they can monitor police communication too

1 Like

Nice narration kama movie lakini umepotea,stupid alitoka Kayole kitambooo ,the place was mihango ,hekaya siweki but kwa comments niliweka kidogo,piki piki mpya hadi ilichomwa@kirwa saika things leo?