RIP Roxxette

https://www.youtube.com/watch?v=k2C5TjS2sh4

Only sundowner guys can relate…

RIP

It’s over now…Rest in Peace Roxette.

RIP but the other guy ako bado

atatuimbia nini sasa?

well,with some backup anaeza fanya performances tu…Paul simon still performs Sound Of Silence alone

Ata vocalist wa UB40 anaimba solo, after the group split

thought he died,ah well ,nitamtafuta

last song sang?
And i bet they are still hits with the same flavour. Ni kama kuniambia eti unaeza skiza karubandika leo na group mpya.My point is,hakuna utamu tena,kuimba wataimba hadi koo zikakuke

MSRIP.

https://www.youtube.com/watch?v=GRz4FY0ZcwI

Hapana tambua gaaaaay muzik

Roxette alikufa what happened??

Unataka kujua ili? Ukadinye maiti?!

Ah manze mbona unasema hivyo

They did? Sad

UB40 wanakam kenya feb next year,Ali Campbell will be with them too.

RIP Marie… It must have been love was the theme song for Pretty Woman…na kunguru akafugika!

brain cancer bana

Kuja tukunywe keg hapa nje jua imewaka