RIP Mamba

[ATTACH=full]499157[/ATTACH][ATTACH=full]499158[/ATTACH]

Worathis

Bloodthirsty crocodile. Mkunaji mkuu.

iliuwa wengi Jogoo road.

Two nganyas with same plate numbers

Same ol` 047A shit.

[ATTACH=full]499185[/ATTACH][ATTACH=full]499186[/ATTACH]

imeoga na kurudi soko

#mbirrionaires cunt rirate

80% of nganya za Nairobi huwa zimegongwa, mlango ya passenger haifungiki poa

Sijaelewa kitu

Hii inaweza nyoroshwa unlike kama ingekuwa gari.

Hio nganya imefanya accident mara kama nne/tano, imebadilishwa kichwa na imeua wengi sana. Hio gari nikama mwenyewe alifanya ile kitu…
Ilikataa kazi. Na pia imekuwa na different owners. Swara tu

What do you mean?

Kuna watu wengi in the mat business who believe in “nguvu za Giza na rituals” za ajabu to protect their business. Watu wengi sana.

Ooh okay