https://www.youtube.com/watch?v=LthU_w2aEew
https://www.youtube.com/watch?v=qNfEPJ8Mm7c
https://www.youtube.com/watch?v=LthU_w2aEew
https://www.youtube.com/watch?v=qNfEPJ8Mm7c
Ongezea 3 blind mice riddim.
Bollocks. Wapi Sleng Teng Riddim? Wapi Pepperseed riddim?
Hiyo ya kwanza sio Lava Splash. Ni Lava Ground.
Leta feelings riddim instrumental.
Wacha niskize izi kwanza juu ya hio story.
[ATTACH=full]368644[/ATTACH]
Watu wa riddim na rootsie rootsie hamieni huku. Huku kuna kila kitu kutoka from archive.
http://t.me/joinchat/Uha5ZUkc8TBH9t4b
[ATTACH=full]368649[/ATTACH]
Message Riddim mambo mbaya
ile feelings nilikuwa natafuta ni ya reggae.
https://www.youtube.com/watch?v=aFupmqJiS_c
Nikapata instrumental yake inaweza nibamba mbaiya!
Wazi wazi mkuu.
Nakumbuka hii riddim. Ilikuwa inaitwa Feelings riddim ilitokea 2010 nikiwa high school na ikahit mbaya sana. Produced by legendary producer Don Corleon. I cant seem to find the instrumental online. Pole boss!
Nimeitafuta sana hiyo instrumental. Thanks for the effort mkuu.
Safi kabisa elder