Ringtone ya nokia

Alafu kuna vile ungecompose rington yako kwa nokia3310 sijui ukiamdika #d *r… Then inakua ringtone… Nani anakumbuka format yenyewe???

peleka hii ujinga kwa TBT.
nugu ino!

Bibi ametoroka na sponyomwitu akaenda na ubongo yako ama?