Will the chiefs force people to attend ?
Hahahaha.
So tulazimishwe kuenda kuwaste time?
Ajue siku za Moi zimeisha. Akitaka turned, atulipe one sausanz kuendelea.
Chief akijaribu hio upuss anaambiwa atapigwa kuliko burukenge. Niko place hata OCS siku hizi anaogopa kutembea after 7pm. Yutmen have made it a habit ya kuokota police kama kumaliza. Mzozano kidogo tuu officer anapigwa kama mnyama. Kuna places naskia ikifika jioni police officers wanajifungia kwa cell na wafungwa na bunduki zao coz it is safer in the cells than anywhere else kwa station.
Huo wote ni upuzi, there is no place that bad in .ke…ati police beaten up by thugs and it not national news.
So TV na radio should interrupt broadcasting to bring the latest breaking news on officers beaten in pubs?
Sema hapo ni wapi nikuje na camera undercover Ili nipate content ninukishe kitunguu
Ile chumvi na kachumbari iko hapo inaeza pika pilau ya diwali
Unadhani serekali ni nyanyako? Stop making up unbelievable stories that don’t make any sense. You have such a wild imagination.
[ATTACH=full]484733[/ATTACH]
Baragoi bandits are more powerful than the CIC