RICH KIDS ARE USUALLY UNHINGED

Banae I Ve had two instances recently, which makes me loath, rich kids, to me they seem not in touch with reality sometimes

Instance 1

There’s a Chinese woman, I was delivering to some goods, pale aboretum area, so outside the highrise building, along the road kuna some nice parking spots, I parked there badala ya kusumbuana na soldier afungue gate, a kid who was skate boarding, comes to my window, he boldly tells me to move the vehicle, I tell him to wait a few minutes, I unload the boxes, the kid shouts at me “fuck you”, banae niliskia kunyonga hako katoto

Instance 2
Nilikuwa naenda gachie, around 11pm, some two young men hapo sarit centre, with a Peugeot kadudu, wameingiza mguu za mbele kwa ditch, to make it worse it’s front wheel drive, they were stopping everyone to help them lift the vehicle, I felt sorry for them, till when one of the guys came near me, nikagundua amelewa, nilicheka tu na nikaemdelea na safari

3 Likes

Mi nadhani kuna mahali utasema ulitumia gari kama jiwe kumkimbiza bana… use your car wisely, mkuu!

:joy: :joy: mashida za umaskini

I thought about it, nikawacha tu, nilikuwa nataka kumuina na choke kama ya undertaker, that kid is old enough to be in highschool

Instance 2 sioni rich kids

3 Likes

Instance 1, ilikuwa tricky juu ya kukuchomea kikazi otherwise huyo kijana alihitaji kupata adabu

Huyo kijana wa kwanza ningepea RKO mara moja halafu nipande kwa roof ya gari apate Frogsplash moja moto

  1. RKO

  2. Frogsplash
    image

1 Like

They had funny American accent, which you don’t usually hear from locally raised men

1 Like

:grin::grin::grin:

Ungeingiza kidole tatu kwa mkia wa hio mtoi

Ukiwa pale galitos tunaflex mbayaaa

You’ll be preaching MGTOW principles in Kodiaga Prison very fast.

kwanza ni wakati wa summer bunnies na huko ulaya yukei na yues ni winter. mutajionea mambo kweli.

Most of these kids grow up to be losers. Can’t get jobs, if they do they don’t maintain them, parents start businesses for them , wapi ! ! !, marriage, good luck if you get married or marry one of them.

1 Like

Watoto wa tajiri hawezi interact na poor folks.