Rhumba

Niaje majamaa. Nataka muni-direct pahali naeza pata mix moto sana ya Rhumba music. Yaani zile classic hits back to back hadi nifunge macho nianze kudance na intestines. Zile niko nazo hazifiki threshold of late. Cheers

2 Likes

Source ilifungwa…

inbox email address nikutumie some file uone ka ni stuff unataka. got fro some club dj some time back.

Mixcloud

kuna old skul rhumba ile ya kina franco madilu tshala muana etc na kuna new skul kina ferre,fally etc so be specific

1 Like

Bonga na madeejay wa some of these clubs, watakupatia mix zao.

inbox email yako nikurushie kadhaa

afande nimesema ni old skul kapsaa kina franco bana

1 Like

http://m.mawalkingradio.com/site/tag/podcast/?imz_s=55gqml9jiqc30qf50h0iegr8l3

mawalkingradio.com iko na rhumba kibao huwezi maliza