Rhetorical question

Waheshimiwa, ati mlisema ile blueband huwa kwa mkebe kubwa ndo inaitwa butter mzinga, au?

4 Likes

Ngoja Village Elders wakuje wakujibu vizuri. Meanwhile…

[ATTACH=full]35176[/ATTACH]

13 Likes

Tupe hekaya za retardville.

2 Likes

@ninii hatuwezi ita blue band butter juu tunajuwa ni margarine…

4 Likes

hehe… sijui ata kwa nini nacheka

Weed

1 Like

kaulize shopkeeper here ni mabilionares pekee, maboch dio hufanya shoppings home

Hawa ni wale husema eti wamebebwa na Nissan matatu ya Toyota wakiwa safarini.

1 Like

ni apewe ile kiti ya @Web Dev

Kwa nini inaitwa blue band na inakuwanga ya yellow?

kaukeni polepole bila kusumbua raiya hapa.

1 Like

ilikuwa inaliwa na band iliocheza blues hizo enzi

1 Like