Hapa ndio pesa ya muhindi hupotelea, what is @Meria Mata
[MEDIA=facebook]id=840296696180072;type=video;user=LocalsSA[/MEDIA]
thats very dangerous
achieving tread depth by all means
Huyu ni @vuja de
all over the country hao ndio hufanya hii kazi, na sio kwa tyre za gari kubwa peke yake, ata za ngari ndogo huchongwa alafu zisplayiwa black utadhania ni mpya, ukiiweka kwa gari inalast less than a week na saa hio ulikua unahatalisha maisha yako na ya other road users.
@Meria Mata hizi vitu who approves? Mwenye gari anakataa kununua tires ama dereva anakula pesa ya tires? Juu it just does not make sense. Hata dereva utakubali kuendesha a loaded articulated vehicle on such tires?
sana sana this is done with the approval of the owner, yaani tyre itembee hadi iishe nyama yote kabisa design haiwezi chongwa tena alafu inapelekwa retread, nafikiri on the highways ushawai ona hizo retread kando ya rd kaa zimetokana, deree sababu anataka kitunguu inuke lazime aendeshe gari apende asipende.
btw police wa highway usiku humulika treads na torch, lazima udondoke
:D:D:D Maragoli mujinga acha kunimulika banaa
Lakini genuine re-moulding & retreading ni kazi msuri. Saves up to 40% of the cost of replacing trailer tyres
Thank God for Chinese brand tyres juu now you can get a trailer tyre for 20k and though it won’t last as long as the other established tyres,itakupatia service kiasi.But hata hii njaro ya akina wakanesa pia husaidia unaenda squad kathaa kama unajipanga.
if you see that happening, its normally the rig owner trying to cut corners to push for one more job to get cash for buying tyres. hakuna driver upewa pesa ya kununua tyres, infact tyres in all transport companies are handled by a different department from workshop (mostly the OPs department)
Tyres ni gold, a major cost center:D
very useless tyres, you can use them on a trailer but not the engine (front ), infact even re-treads are not used on the kichwa, unless you are trying to kill someone ![]()
Mimi natumia hadi kwa kichwa and they serve me well so far…retread is what I have never used coz I honestly don’t get the logic of it.Retread cost as high as 15k might as well get a brand new chinese at 20k but that’s me.
truck type , load and route? :eek:
@amun and @Meria Mata halafu wakichonga hizo treads tire inakuwa na grip ama ni aesthetics tu?
Scania,28tons,Nairobi-Western route.
hizo ni aesthetics to fool highway police
have you ever tried them on the kitale -lokichar route? ![]()
Huko hapana bana!
hizo tyre huraruka kama karatasi, you get a tear that cant be fixed, and that time imechapa airlift axles with the rig loaded, thats when you feel like hanging yourself upside down (atleast you die a gradual death :D:D:D:D )
if you ever do that route, dont try chinese
Lakini nyinyi hupitia mambo. Hiyo route kama huna tires genuine na good condition unakataa kuenda.
On average how much does a single tire cost and how often do you change them? I know hardy routes will change more often.
And do you change them all round?
All round :eek::eek::eek::eek::eek: no not possible!Tyres cost between 20k (Chinese) to 60k (Michelin) so all round (20 - 22 Tyres) do the maths…