Retirement inaumiza wazee huku village

A neighbor of mine is suffering here in the village. how do you come from earning 120k to depending on your daughter for at least 4k per month? The wife who is 10 year younger is still working as a teacher. anaonyesha yeye madharau bila huruma. jamaa alikua amezoea soft life nyama daily sahii anameza ugali sukuma juu hana otherwise. labda bibi ahurumie yeye anunue nyama once or twice a week. He had zero investments. sahii kazi ni kukaa kwa nyumba tuu na kuona TV
AMG wa mechanized infantry MGTOW hapa nmehurumia yeye bana. wekeni investments majamaa

Most wazees avoid nyama and sugar so hapo hana shida…shida ni kukaa idle. Our parents are now retiring…noma

There’s nothing more depressing than a broke old man who never invested when he was doing well in life

How large is the land that he owns?

Pia invest kwa skill ya leisure. Something hands on

Avoiding meat in old age is disastrous. You’ll age faster and be weaker due to sarcopenia and random illnesses

Angekula sumni aweke sumni angekuwa ameongeza khupipi no 2 ya kumumunya akikagua investments

:D:Dkwani alifanyia nini sendoff package na benefits?

Mzee moi alikuwa anapenda nyama sana…

He lived a very healthy life upto his old age.

Cc @Gaza

True. Two times a week for red meat sio mbaya alafu afuge kuku pia akule kuku na mayai…samaki pia sio expe sana kwa soko huko village. My old man used to be very sickly between ages 45- 55…alafu akawacha pombe, akawacha sukari na akawacha salt na mkate…nyama sai yeye hukula mostly samaki na kuku…trust me dude is rarely sick…actually I don’t think he has been sick for the last 5years. Hapo mbeleni ilikua kukimbizana hospitali kila wakati

Ngombe mbili tatu should keep them busy

Animal protein is nutrient dense

Watu wengi wa salary wale wamechorwa na government huwa na shida moja, huwa hawaoni miaka ikisonga, wanasemanga wamejenga reserve…wataenda kuishi ocha wakimumunya pension hadi dakika ya mwisho.

Alafu naona una mifugo zinakuja pole pole.

how much would his benefits be? Miezi tatu hiyo pesa inaisha

My grandpa pia yeye nyama ni daily…huwezi pea yeye chakula bila nyama…atakutusi…yet he’s over 100. Kuna watu red meat hua haiwaaffect.

Ulikuwa unefika kwake story gani?

Sukari nayo siwezi wacha , nitakunywa hadi old age

I am the only customer in a pub anaelekea hapa. He feels like a king being sorrounded by five waitresses.

Shugulika na maisha yako…