Wanakijiji kuna kinywaji Imeletwa hapa na the opposite gender meanwhile me nameza shujaa bole! Bole![ATTACH=full]112844[/ATTACH] [ATTACH=full]112845[/ATTACH] [ATTACH=full]112846[/ATTACH] [ATTACH=full]112847[/ATTACH]
Yaani hizo kucha hujaai zikata? hehehe
Bado pesa ya Nail cutter sisemi ni GG na Biwott walikula
thumb nail ni poa ikiwa refu kiasi, you can use it to pull out stuff, lakini zingine zikatwe
That is a big ass TV set you got there my fren
its the wall that’s small.
That “rare” whisky retails for 550…cant be all that rare!!
:D:D:D
That’s a common whiskey and I am not hating.
Legends ni ya peasants mblo. How do you manage?
activate your windows
Hakuna kitu rare hapo
Hiyo ni nyumba ya mtu ama ni bar?
Hahaha akimaliza kuwatch lazima aendee neck rubs juu hapo ni shingo inaumia
Hujaona remote ya ampex?
kuna pia moguka na big G
Waah leo nimekua msick the whole day puking and shit staki pombe for next two or three weeks hivi …jibambe though halafu mkubwa si hio tv umemount juu sana?
I knew you would get legless but at least you are still alive. I can only imagine how my THATAY will be…soooon.