Reselling excess airtime

Wadau niko excess airtime (saf & Airtel) in batches of 350 where can I resale them. I have no use for them juu I topped up my phone both saf & airtel with 2500 each.
Kama unataka credo at a discounted price kuja tupige biashara.

What discount?

[ATTACH=full]492904[/ATTACH]
Ulinunua by mistake nikidhani hizo batches ama?

Sasa ya 350 unakinda aje?

Hapana ilikuwa ya biz flani and nobody turned up so nikabaki nazo.

20% off

280