Nani anajua hii biz venye kunaenda?
Naskia vijana wanaomoka.
Gen Zs si mtusho siri
Nani anajua hii biz venye kunaenda?
Naskia vijana wanaomoka.
Gen Zs si mtusho siri
Interesting development, until you get a job while you’re still half baked. Utafutwa kabla ujue kule choo ziko.
Apparently mzungus/chineese are seeking kenyan Linkedin accounts.
Sijui wanafanyia nini.
Shida utajipata umekua Kwa list ya interpol. Vile ume fraud credit cards
Ile ingine nimeona ni guys wakitaka kusubmit proposals to donor na wameonanyou hav good credentials in LinkedIn they request your resume then mute
Seems like scammers are getting smarter as they’re now using legit SM accounts.
your identity is your lifeline…