Relegation Battle, who's going down?

After saints wamepanga virago last weekend.


So far Hammers inakaa wamejishikilia kwa
a safer branch,now pressure on the other guys.


Najua forest watacheza kama UCL final against gunners.

Arsenal tunaomba Tu city waamke na mguu mbili za left tu na waumwe na tumbo wakijiharia for the remaining games.

sweet dreams.

I think Leicester will go down. I just don’t see them surviving. I’d hate to see everton relegated too.

Leicester na Leeds wanaenda. Brendan Rodgers ferked up big time.

Hapo kwa kuhara, sahau. Hii ishaenda.

Story yao itakuwa sad sana.
From champs to championship.

Unaonaje do we expect some magic na the new student wa pep akipull the unthinkable na Burnley next season?

Leicester na Forest

Story ya Lingardinho itakuwa imeisha kabisa

Hehe, unataka kutupea hopes mahali hakuna? Tulishakubali and we are healing.
20230311_083446.jpg

We kaza usiachilie bana, ligi ni 38 rounds

Burnley watamaliza top 10.
Kompany ako sawa. Club im-support na signings