Relationships

Enyewe hii thread inakuwanga na disfunction mob., watombi na watombwi. We have a lot of sex or related topics but very little about relationships.
Kuna time fulani someone here asked about places to visit in Uganda and all he got was places he could go and BUST a NUT, lakini huyu jamaa alistand out coz alisema anataka tu places za sight seeing juu ana wife nyumbani hadi nikashangaa.
Anyway, now I see what this guy was on about. Nilimeet manzi current some time last year na coz Dec hatukuwa pamoja nilikuwa na guilt mob nikianza kurusha mistari pengine, hadi nilisema I have a gf vile nikiulizwa na hii story usually nawekanga chini ya maji. I guess this is what LOVE feels like. Sijawahi sikia hivi.

My point is, kuna manzi mtu humeet unajua your relationship is worth so much more than kucheza nje. Lakini before you meet that person, ni mambo na kucheza kamari.

5 Likes

Tangaza msimamo…

Kwanza nakushukuru sana kwa kuleta jambo hili mbele ya wazee wa kijiji,vile unajua penye wazee hapaharibiki jambo.Sisi kama wazee tunakupongeza sana kwa swala huu…

3 Likes

mimi huwa na TV iko na channel 93 napenda citizen TV lakini wakileta movie za oga huwa naweka Action Tv na watch monday night raw vile roman reigh anachapa sheamus…:smiley: meaning we are born polygamous
lazima tusample nje:P

1 Like

A man is as faithful as his options…

3 Likes

Acha kila mtu ajiseme. Just like @Okiya pointed out ’ we are all different…’

Stick to one.

Wee wacha kupeana introductions. Let’s mawaidha.

All I know is that ndume akipata mwanamke na ampende for real, hawes fanya upus ya kumcheza.Also, ina hitaji a lot of discipline sababu huku nje waeza kutana na vipusa wameiva kweli kweli.So discipline is paramount.Your company matters a lot too…Ukiwa na mabeshte wanapenda ku dry fry utajipata umeambukizwa dry fry characters.my 2 cents.

7 Likes

vipusa wameiva na hakuna kitu wanakataa kufanya kama warembo wa Dar …huwa wanapora bwana za watu juu ya zile vitendo wanafanyia wanaume kitandani

Mimi I have been eyeing one of my managers.quality ziko,figure iko,iq juu ya mawingu.smile,character.in short,everything.hako ka gap Ka three years na her being my boss ime nifanya Ni hesitate.imebidi nisare lakini.huyu akikwambia wait three years for sex naweza jikaza(though I’ll bust a nut somewhere else,just a nut):D:D