under the sun, nothing new. just the same old in a different fashion;
wacheni kutomba kila shimo you come across, you are defiling your souls with fornication…yaani imefika point hadi wanaume wanabomoa wanaume wenzao na pia, wanawake wanadara wanawake wenzao. na sio eti hamjui hizi mambo, but since nyinyi ni ‘watu wazima’ na hakuna kitu hamjui, mnachagua ku-ignore. ndio maana watoi wanagrow wakilewa tu na huu upuzi ambao mnawa-ambukiza.
[B]When they saw that the daughters of Cain were beautiful in form and that they were naked and unashamed, the children of Seth became inflamed with the fire of lust.
And when the daughters of Cain saw the goodliness of the children of Seth, they gripped them like ravening beasts and defiled their bodies. And the children of Seth slew their souls by fornication with the daughters of Cain.[/B]
Hao ndio najua wanahubiri just about everywhere. Juzi juzi tu Sunday afternoon I’m jogging someone stops me and hands me a flyer akitaka kuanza mahubiri nikamshow sorry I’m working out nikienda, Alikuwa wa hiyo Jehova’s Witnesses