Reject Mabati advice.

Nauziwa guage 32 @ 120 per metre.

What are the disadvantages of these mabatis? Nataka kujenga a temporary structure (that will last 3 years ivi) na staki kutumia pesa mingi.

cc @Wakanyama @threetatu @Mjasusi na kila mtu mwingine anaweza nipea advice

kama ni kitu hutaki umaridadi nunua,na 120 ni very cheap kama sio factory ama mtu amezitumia anataka kuzi dispose chunga sana

asanti sana.

nilikuwa nimeona kama unanunua 120 per piece ,kwa hivo 2mts unanunua 240,fanya hesabu ya transport kama sio mingi afadhali kununua zile mzuri kwa zile hardware ziko karibu

Nitanunua mingi. I will save 8k compared to buying the nice ones. Transport niko nayo.

JUST DO NOT buy stolen, you could find yourself facing 20 to life for robbery with v…

na resale value itakuwa down kama utataka kuziuza

Sio stolen. Ni what is called factory reject.

kazee,rejects sio za kuibiwa

izo sitauza. kazi yake ikiisha napeleka kujenga nyumba ya kuku

Mmmmh savings 8k…

Is it worth the trouble, time and extra effort? You’ll probably find a good number of them unusable. Plus I don’t like looking at substandard things more so in my compound

Uko na kuku Nairobi?

Hii ni ya kujenga temporary site house na choo. Hiyo 8k savings ni mingi sana itanunua mbao ya fito na misumari .

Athi River, Kitengela, Rongai, Dagoretti, Kamulu, yote iko nairobi na watu wanafuga hata ng’ombe wacha kuku. Nimeamua in the next 3 years silipi rent tena. Leo ndio step 1 ya baby steps

abro biro chamo gweno odieching achiel

Go for it, That’s about 10 bags of cement

Peasant problems.

Mos mos atek, iwinjo! Berr berr
Safi

Kuja na 450

Bibi yako bado hukuchapa?