Regarding withheld Nbi-Msa SGR contract conditions, collateral

So, Wakuu, naomba maoni yenu kwa swala lifuatalo:

GOK has seen it fit to keep the multi million USD Msa-Nbi SGR contracts concealed because of:

  1. ?
  2. ?
  3. ?
    Kindly note, this is not a thread for general commentary on SGR its about your opinion on 1,2,3 above.

Asanteni.

1-port.
2-freedom family

threat to national security. wadau ata io contract ikuwe public itasaidia nini? mmelemewa na Wakule mtafunga uhuru?

Jambass hana uweso?

Uwezo anao, lakini haitasaidia mkenya wa kawaida

Itasaidia watu wakielewa ni nini wanalipia, sana sana wakikumbuka hao wenyewe watalipa maisha yao yote alafu watoto wao na watoto wa watoto wao watalipa pia.

Next…

waanze na zile bills za county governments

Watu wanalipia reli. No one can build you a 600km reli from mombasa to suswa for free. Meanwhile hasla anapeleka reli mpaka kisum city.

[MEDIA=twitter]1588154910633328640[/MEDIA]

[MEDIA=twitter]1588201028771631107[/MEDIA]

Why not start with the national gavament pending bills?

citizens kama wanatumiwa vibaya na mca’s kama wameweka mikia kati ya miguu watawezana na mwizi wa sugoi? wakenya wakubali pesa ya serikali ni ya kukula, na wanyamaze.

Si jambass alisema he will lead by example, we’re waiting to see this example hata @Berlin Oxford amesusia hustla fund

waMeru wamekataa ujinga ya MCAs kupewa 20M kila mwaka na hawaoni maendeleo Kwa ground.
Wako nyuma ya Gafana m Aya mbof!

Napenda hiyo

Waweke Dual Carriage from Mombasa to Malaba and i dont care to see the contract details