I want to buy a refurbished or used phone with a budget of 17k.
Where can I get a good one?..I got someone who wanted to sell to me Reno 5 at 18.We agreed but he didn’t want to sell with the 65W charger, and when I asked about it, see she withdrew from selling.
Nimeangalia jiji.ke but I’m still heartbroken I missed that Reno 5.
Is jiji.ke a nice place and can be trusted ama ni ya wale wakora, nitagongwa?
Suggest where I can get these budget phones,refurbished au used but not more than 7months old.
I’m in Kisumu currently and I don’t know if I can find someone who can be trusted to send it as a parcel to me.
Bana specs za Reno 5 Bado ziko juu, AMOLED screen,the resolution,storage ya 128 si mbaya, snapdragon 7 smthing,ram ya 8,cams 64 back, 44 front…I was just impressed by it.
Hizi specs huwezi pata realmi/redmi mpya with that amount.
Yeah,kilimall I can shida ni hiyo kungoja one month …
Sijui mbona Mimi Bado sijakuwa impressed na Samsung hizo A10,11,12,13 etc.
What came in mind was Renno 5/6…given new ones Bado sifikishi bei hata ya 7/8/
I tried thinking of camon 19 but kitu inanisinya na Tecno camon and Infinix series ni the very very many series they produce in a short time and how fast they become obsolete.Leo ni camon 19, after 3months 20, the next 20s, sijui pro, with no major improvements…hata za zamani Sasa karibu zishinde new ones…and Infinix pia wakiona hiyo,wanaingia umalaya hiyo.
Btw wadau,how is the experience ya camon 19, is it worth inaweza handle midweight tasks like kucheza games
Simu za BBK Electronics na Xiaomi ndio pa chini kabisa unafaa kwenda kaka! hapo kwa infinicieth na Technocieth sasa umekuwa too desperate na hizo ni taktaka, ongea na mzee @Axelrod akuunge simu ya maana aliniletea yangu na nikatuma familia kwake hajawai niangusha.
Ndo nimeona, jamaa ni wale wanunuzi sumbufu yani hio Reno 5 hata bila charger yake na 20k bado ni dili salama, sijui atatoa wapi ingine hata nimepitia pale Jiji sijaona kitu
Isipokua the fact that I know the Galaxy s20 ultra is a 2020 phone, I would have sworn it is brand new. Battery ndio the biggest win for me. From 8 in the morning naenda nyumbani saa nne na upuzi usiku na bad simu iko 20% to 30%. Camera glass broken so images not the best. Total ilikuja to 18,400/-.
I have to point out that inakula bundles kama upuzi. Even with the display resolution at 720 pixels, a gb of data is easily gobbled in a day sometimes less than a day. My Huawei Mate 10 was consuming under 500 megabytes for the same period of time.