reddykulas.....Live comedy enzi zetu

https://vm.tiktok.com/ZMYkdHkRC/

Tiktok Cheith

Redykulass was the father of all Kenyan comedy. NTV them days was nothing without it.

:D:D:D wewe ni kijana mdogo to think hii ni TikTok chieth.

in the year 2000 hii part ya Moi ilikuwa noma sana. Walter mongare aka nyambane hapo ndio alianza career yake ya ucheshi.

“Na hio ni maendeleo” alafu wanaweka lingala “Moi” anazikwenda.

Cc. @Heke

Riika ingine ya @pipinono haiwezi elewa redykulas was the ish

Ilikuwa ndio kusema on sundays. There is a time I revisited those videos and wondered sasa nini ilikuwa inanijazz hapo :D:D

:D:D:D I think it was the dancing ‘moi’…kwanza iyo style ya kudance lingala slow motion yenye nyambane amemalizia nayo kuna time ilikuwa imeweza sana…made famous by kanda king…

I can’t find the video unfortunately but my favourite skit was "our people united shall never be defeated!
Edit: found the video

https://www.youtube.com/watch?v=RrlgR9uKaCc

Waliweza, nakumbuka hadi kuna time walienda USA na uniform za high school na metal box. Walikuwa the talk of the town kila kona…

Kulirudi kukakuja ingine ilikuwa inajiita crazy kenyans. King’angi [churchil] alikuwa anakuja na jokes zake boring.

Them days…:cool:
Sweet memories when greatwall tv ilikuwa ya the rich.