This is a once off lifetime event, where are you and what are you doing?
Post original pictures you take and pls kindly no pirated photos.
When will it happen? Saa hii?
hii kitu inaanza saa ngapi ndio nikuwe na excuse ya kuhepa wife. “naenda kuwatch eclipse na ma boys”
:D:D
Yako ata si chapati umekaliwa mkeka
Ngombe, toka uende kwenye unaeda na uwache usenge!
mimi siezi enda kwa baridi eti naangalia mwezi!
where is this moon ama ilibebwa na kunguru?
Tunajua umeona mingi kwa maisha yako phosill
mathice hio moon ikiwa hata blue itaongeza sufuria ngapi za ugali kwangu?ushenzi ya washenzi hio
Funda, chomea watu mtuch ama ujipe shuguli.
Mnataka kuanza smackdown tena juu ya beef ya ile mjei :D:D:D
A warning to all the ladies… Mrs shosho et al…, if you get pregnant during this blood moon eclipse your baby is going to be a werewolf. It’s science, baby. I think I need to make puppy tonight
Nope, we is cool.
huyu mjamaa alimwagia mimi unga,sitawahi sahau na tukiwahi kutana mtajisomea kwa gazeti
Niaje @Starscream , leo wanaume hawakununulii fiobe tao?
@Napoleon Bonaparte Hii unajikinga ivi .
[ATTACH=full]185974[/ATTACH]
![]()
Hapo amenifinya makende :D:D
Wakanyaks. Mwesi kwako hukaa kama sufuria. Na kairetu ga kwanyu nigakukethia
:D:D:D:D:D… saitan wacha kuongea ukweli.
Noo, when a Singo Matha smiles at you