Reconnaissance 1

Nani anajua huyu kabla nijiingize kwa matatiso?
[ATTACH=full]478306[/ATTACH]

anakaa kunuka miguu juu ya hizo ma simbaland :D:D

Yule mpipi ya @uwesmake alitupa

i find such shoes looking extremely funny.:D:D

You guys my guy niaje

niaje niaje my guy.

Fiti fiti, leo nitapika ugali nikule mabaki ya @ugali ya jana na mala kama supper

bado wanaunda simbaland waaah, niliona ule jamaa wa huku yues akionyesha timberland origi ni 200 dollars hio ni karibu 25k imagine

Anakaa kuwa na matako poa. Ebu kaambie kapenduke

Simbaland na Arafat na Bado unataka kukula?

Hii ni Mali ya jangili @johntez addi gaza msafi

[ATTACH=full]478476[/ATTACH]

Omundu strong @ugali ya jana na mala

Elder mzima huna kikombe

Kijiji imejaa maskini

Na wezi

na Timberland?

Usikuje kuiba @ugali ya jana nilibakisha ghaseer hii

But they are very durable no doubt.

timberland have a history unlike hizi matumbo watu wanavaa hapa nje.

Timberland ni kiatu ya heshima. Ipewe heshima yake. I ma planning to have all colors like Thanos stones, orginal that is.