Recommendation(Not related to this platform)

Anyone who knows where I can buy a good Maasai rungu?

Ya kuslay ama the real one?

They used to hawk them at Capital Center parking lot on weekends. Be ready to pay tourist prices though

Thursdays pale 3rd floor junction mall…or ngara maasai market, I think mtu unapanda gari ya isich,hilton building pale ground floor mama ngina entrance kuna shop, or next week kaa kwa any local jioni watakuja nazo

Si ujitengnezee?

@maasai 101 kuja saidia mdau

Kwa traffic ama uende kariokoo market

Wakisii nini inakuanga shida yenu walai? Sa akijitengenezea then it will not be a masai rungu,will it?

:D:D:D na si rungu pekee hata njora na ngao ziko. Fika tao pale maasai market.

Ama tegea mandauo huzururisha kwa estate, wako Kila mahali. Pia wanauza asali na dawa inatibu all diseases.

Unadai pia mkuki? Usijali… pia hio iko kaka kwa bei nafuu.

Nataka uende hio vita ukiwa fully armed :smiley:

:D:D:D itakuwa kisii rungu. Hio haitamsaidia

Follow ledama olekina pale twirrer and ask him to donate the one that was broken at bomas

SMH

State your approximate location ndio usaidike.

I’m in Nairobi.

Senior Elders wamekusort hapo juu

Kama uko nai, panda supermetro ya Kikuyu au Likana za kwenda limuru via waiyaki way,shuka Gitaru…hapo law underpass ya kujiunga na southern bypass mahali trucks zinaingilia zikitoka main highway, kuna jamaa huuza hizo rungu plus pia mikongojo. Nunua then panda tena za kurudi Tao.