Watu wangoje kichapo. Serikali haiwezi kubali kutumia pesa kutrain mtu alafu anauliwa hivyo tu. Vijana wa hio area watafute shangazi anaishi Mombasa wamtembelee ama wavuke border juu wanakujiwa.
Bonobos amaze me. Has this strategy ever been known to work? Sii vijana innocent tuu watapigwa na kushikwa? Huko kwa British Granadiers we used to have what we called the Fighting Patrol. Kama ni hapa Kenya unashikanisha county kama nne unavuruga kidogo but led by intelligence sio violence on innocents.
This is the problem of joining Recce through the backdoor. A well trained commando should have assessed the situation and known this called for flight not fight.
Collective punishment techniques when the colonists used to smash young men and male children with bulldozers and burry them under tarmac roads until the roads ooze blood when one of their shitty chiefs/enforcers got what he deserved
Na kweli, hii kamtu kaliingia aje GSU? Anyway siwezi kalaumu coz kuna.mbilikimo kwa family yetu also serving in the GSU after kufanyiwa deal na a taller cousin. The last time we had a family function ya matanga just after he had passed out and gotten posted kalijaribu kututisha eti juu sasa yeye ni karau. Hata sio sisi tulimuinua. Our various goons who hang around for 50 Bob ya chwaka ndio walikabeba wakakatupa nje ya boma with a warning wasione mapua yake hapo karibu tena.