"reCAPCHA" kwa wale wanaoshindwa kujinga kutokana na hili neno.

reCAPCHA hii n system iliyotengenezwa na luis von kwa ajili ya kuhakikisha mtumiaji wa simu au compyuta n binadamu na sio bot, bot/web bot/robot n software ambayo hufanya kazi yenyewe bila kuendeshwa(automatic) na kufanya kazi mbali mbali kwenye internet mf kama hv ku sign up kwenye app tofaut au webs. Ili kua na uhakika kama anayejarb ku sign up n binadamu na sio robot hapo ndipo reCAPCHA huhtajika.

Turud hapa sasa , sio web browser zote zinasupport reCAPCHA hvyo unapokutana na hili neno hakikishaa una web kati ya hz kweny cm au pc yako, SAFARI, MOZIRA, CROME AU FIRE FOX ikiwa active. Ukitumia google au operamin kama default huwez kufanikiwa labda itokee waku redirect, popote kwenye reCAPCHA mara nying lazma watakupa link inayoonesha supported web kwa reCAPCHA, Unachotakiwa n kufungua link ikfunguka utaona kat ya hzo nilizokutajia(nakushaur tumia crome) na hakisha ipo active, isipofunguka basi jua simu yako haiwez kusapot kat ya hzo web au ina android chini ya 4.0, kwaio utalazmika kutafta cm nyingne ujiunge halaf ukisha jiunga unaweza kuendelea ku log in kwa simu yako(log in haihtaj reCAPCHA). Ukishafanikiwa kufungua hio web eg chrome moja kwa moja utakutana na reCAPCHA TEST, ambayo mara nying utaona vijiboks vya mitaa vikiwa na content tofau tofaut mf magar au alama za barabarani huku akikutaka u tap(gusa) kìboks chenye kitu anachotaka yeye tu, kuna option ya kubadili swali kama unaloo ni gumu au halionekan vzr. Baada ya hapo kuna sehemu ya ku veriey, kama umepatia mara nying kuna kijisentesi kinakua kwa chin mwisho “I’m not a robot” kikiwa na kijiboksi kushoto unachotakiwa u tick. Then your done kama ulifuata kila hatua vzr. Mwenye nyongeza anakarbishwa tusaidie wadau mana weng naona n guest.

Ahsante kwa taarifa mkuu.

Samahani ni Ahsante kwa taarifa mwanakijiji.

Barikiwa, mimi nikomaaa kibishi nikaweza, na nimepost. Basi kuattach picture tu

Nilitumia Operamini ikawa haisapoti.

Imenisumbua kwa siku mbili nzima ndio nikafanikiwa kwa kutumia firefox.

Naimani wengi wanajaribu kujiunga lakini wanashindwa hasa wenye browser ya Operamin pekee.

hahaa huu uzi umenipa like kutoka kwa mod na wamenizawadia u senior member fasta, ngoja niandike mwingne pengne naweza kupewa u moderator, msihofu nikipewa nalihamishia hili jukwaa ushirombo

Hata ukitumia Via browser haina shida.

noted

Kumbe ndio mana kwangu ilikuwa inakataa asante mkuu

Umeona eeehh!

halafu shunie niombe msamaha kwa Luq kanichunia huyooo

Makubwa haya @Luq nampata wapi mie

Wamekupata

hahaaa!humu humu jukwaani!akipitaa!

nafsi yansuta!

Khaaa nafsi inakusuta imefanyaje ukimuona mwambie namtafuta

Hii reCAPTCHA imenirushia stimu kweli!, imenilazimu nisign up kwa kutumia FB account, kitu ambacho imenisababishia nishindwe kuedit profile yangu.

Shukrani mkuu

Nipo, nambie

Imenikera sana mpaka ikabid ni download browser yangu pendwa maxthon

kuna jamaa yangu aliniuliza “hawa reCAPCHA sio TCRA kweli?” nilicheka nusu dk

Uyo nae chenga kweli hana tofauti na jamaa zetu wa kericho