Reason number 37 why motorcycles are a death trap

In case of any mishap. You will be q dead meat

Mimi hupanda Tu nduthi ushago. I’d rather walk

Hii ndio shida ya nduthi. You can do everything right then a mass of metal comes flying your way and it’s a wrap. With a car at least you have a chance.

He had no chance

Shit. Hizo magari zimesagwa kama minced meat buana.

@SSD_sitonymemoh this is what we were talking about.

Noma sana. I think nduthi man survived, ni yule ametoka chini ya lorry na kutoka kijiko like the pillion passengers of that other nduthi that detoured. Matatu driver takes 100% blame. Bonoboste haielewi climbing lane ni nini

Huyo jamaa wa white double cab aliamua kulenga hiyo story

final destination

Wee hujui kile unasema. 100% blame goes to the mat driver with probably a bought D. license. How did he not see the pick up brake lights, indicator? Ata labda alikua kwa simu. Lastly, he should’ve swerved to the bushes not on the on coming cars,driver bure kabisa

Jamaa ako na shugli zake

Ameondokea. Hiyo tayari ni kesi na uko safari

Sometimes when accident happen you feel like you are the cause…he slowed down it’s like he wanted to go right I don’t know if he indicated…buy he was not the cause jamaa wa mat was not concentrating on the road and he caused the accident…sad how death calls people ju mse wa nduthi na dere WA lorry are innocent

Unajua kusoma kweli? Kwani what have I said up there?

Halafu dere wa mat alipeana co-driver bana

The bonobo mat driver should be castrated!

Boss…when i ride a mat. I either sit in the middle or in the back. Hapo mbele ni sure bet ya kunyuria. I use mats here and there especially kuingia tao due to congestion n lack of parking

Kuna time tuliponea three years ago hapo jogoo road. Driver wa mat na haraka zake aliingia machuom ndio atokee hapo makadara. Dere hakuona trailer inakam, alizuiwa na lorry pia ilikuwa inajoin. Mimi nilikuwa nshaiona juu nlikuwa nmeketi hapo katikati but Kwa window.
Hio trailer ilikam na brakes zilikubali, ilisimama less than fifty centimeters from me…wa matha walipiga nduru wakitoroka…Yani ilikam hadi mahali niko, ningetoa mkono ningeihusa. Siku shtuka immediately…nlishtuka after nimeshuka nmetembea hadi archives. Na venye nlishuka kwanza nliuliza Dere niaje haukuona hio trailer akanishow " aki sikuiona mkubwa…"
Akili yake ilikuwa far. Nkamsho asijali aende na pace yake.
Accidents ziufanyika tu kimchezo mchezo…a slight mistake na ni Ivo…

Huyo dere wa mat sjui anaenda wapi… hata ka ni kuhepa pick up…au ali loose control…Na vile dere wa lorry alijaribu kumwepa na kumpa nafasi…Lazima alikuwa aki scroll phonebook kwa simu… madere hadi wanatuma text at 80kmh

Hio ni brake failure…

Izza man, nilisoma vibaya, ata nilikua nimeshangaa