REASON NLIACHA KUENDA CHURCH | FUNNIEST KENYAN MEME THREAD

hii meme thread inashow zile excuse watu humake wakisare kuenda church

https://www.youtube.com/watch?v=xZwArPgSGPw

Mi ni ju ya wezi wa “tithe”,wadinyaji watoto na wale wengine wako na peace but kazi ni kuvalisha watoto suti ya baruti ,ofcourse kuna the imaginary deities involved and too much brainwash of eternal punishments that do not add up