Nyinyi watu hupenda kusafiri usiku, kwani nyi ni wachawi? Mimi if I’m travelling alafu ifike 6.45 pm nikiwa kwa barabara naanza kushikwa na anxiety banae. Dereva akishika break tu kidogo najua baas, mimi kwisha. Najua kifo inaeza kupata anytime lakini usiku nimekataa.
Pia mimi usiku siwezani, pengine kwa ndege au train…
At night you need very good headlights. You should only drive as fast as your headlights allow you to see. Beyond that, you’re playing with the devil. This driver is a good example.
I missed similar Luwere eastern bypass…when it was one lane…kama nimetoka airport midnight…a stalled black truck …no lights…nothing…ilibidi niswerve kwa kichaka…lucky wasn’t speeding…nilishtuka sana…
At times ni kuwa na tight schedule na budget. Mseh hawezi afford ndege. So inabidi asafiri usiku, mchana apige shugli, usiku tena arudi kwenye ametoka.
Noma sana.
Mimi nimezoea usiku. But if driving I ensure speed iko chini. Visibility usiku ni shida, especially ukichomwa na oncoming vehicles.
The secret to night Travel
I love driving at night because you can easily spot ghosts and spit on them like shit. Driving at night requires courage and your eyes must be sharp to balance the light from other vehicles. Secondly, I just smoke five puffs of shash and mimi behind the wheel. Gari inafika salama salmini.
People are different ,mchawi mwenyewe the kitui crocodile travels at night with ease raising untold havoc on roads
after saa nne usiku hakuna magari mingi kwa barabara
For long distance I avoid night time travel like the plague. Acha ikae
Usiku unless unasafiri na ndege. But Kama umepanda bukinya kutoka kakamega, dereva ameshinda mchana mzima akikunywa chang’aa amalemba na kukula miraa. Ukifika shukuru mungu
Naona we ni mwenyeji.
In 2011 tulienda kuzika beste sides za imanyuria na tulitravel usiku…hio basi ilikuwa inapelekwa mbio alafu nikama haikuwa na shock absorbers since then sijawahi travel usiku na gari…uoga na stress zilinifanya niwe alert usiku mzima
I only drive at night on roads where najua mpaka place kuna pothole kama thika road kutoka kenol kukam hadi tao ata saa nane nita drive
So many bonobos don’t know to adjust speed in poor conditions. Kwa giza, kwa mvua, jamaa bado anapeleka gari na speed ya kawaida. And then now you bonobos want to blame the night for it
If you own a vehicle utajipata driving usiku upende usipende.
Sipendi kudrive usiku but I drive quite often juu sina choice. Nikitoka ocha saa nane halafu nipate shughuli Nyeri itabidi nifike usiku.
Sio mara moja ama mbili nimetoka Nyeri usiku juu kunguru imeniweka. Nyeri has some of the hottest vienyejis in KE so ukipitia huko unajipata tuu ukimeet some wanadelay safari.
Just drive slowly utafika.
The person who left that lorry on the road without any warning sign should be charged with murder
Sisi watu wa jaba kaa ma night owl; hatunanga hii shida … usiku sasa ndo tunaona vizuri kapsaa, nikaa tumevaa ma night vision goggles.
Challenge ni eti huwa nadunga glasses hio kumulikwa affects my vision.
Driving at night in the middle of nowhere is a no for me. Especially for the long safaris …