rear lights intact

[ATTACH=full]58373[/ATTACH]

[ATTACH=full]58374[/ATTACH]

[ATTACH=full]58375[/ATTACH]

Woooi, what happened to that one?

:eek::eek:Wololo!!!

mpaka inakaa long chassis kwa picha ya mwisho

hii lazima ikue lorry iliuma mbaya

Alafu they tell you the airbags did not deploy :D:D Unabaki unajiuliza if they didn’t deploy with such as accident are they waiting for you to die

:eek::eek::eek: chilling

hapo hakuna kutoka hai hata kama uko back seat

lakini hizo rims na boot door zinaweza uzwa upate kakitu

Kiuliso tu… .
Alikua na speedgun detector?

alikua nayo kwanza alikanyaga hiyo kitu ikafika 180KPH ndio akaumana msee.

Sasa unaona what I said in your other Uzi…

lakini umewahi shikwa na hawa wajamaa just cz you were doing 60Kph na hakukua na sign indicating speed limit ni 50? ni ma sadist pia.

Noma. Subaru kama si Forester wacha ikae.

Yeah, Hapo juja walisema I was doing 93 in truck, wakakula 5k hivo tu.

Kwa highway??? ama in truck ni wapi?

Am silently hoping there was nobody in that Njoki Chege’s car

Kwani ilikua inajipeleka?