Niko nakumat likoni for my Gilbeys na laini ua liquor ni ndefu kama ya general election. Yaani tumejaa hapa pombe room mpaka Ac iko overpowered. Thos thirst is real. Madame ni kaa 70%.
Naona nikiacha pombe
Picha?
ata mimi kuna wakati napata line mrefu nakumatt lifestyle na ni watoto na kiherehere mingi nasikia kama nitaacha pombe
Picha tafadhali buda boss
HOYA nominee
Wazee ni kupewa kwa hao wakirelax[ATTACH=full]23253[/ATTACH]
Na vile nimezungukwa na pombe sijui nifanye nini… Pole son of Mabends
welcome back @le scumbag.
mie niko nakumatt bamburi na promotion na hizi ma jeggings zaniua
Leo nikiskia harufu ya pombe Nita puke
welcome back @le scumbag.
mie niko nakumatt bamburi na promotion na hizi ma jeggings zaniua
Nimeharibu bundles zangu kwa hii thread nikifikiri thirst ni pink handle na wewe kama V.E unajua hekaya huambatana na mbicha.
Nishawahi ona mulevi kwa supermarket ako na mzinga one liter kwa line akaona anachelewesha jamaa aliifungua kitambo afike kulipa chupa ilikuwa empty akalipa chupa empty, hio ndio thirst.
Alternatively…[ATTACH=full]23256[/ATTACH]
:D:D
Sijui kwa nini naona ni kama hapo ume tunyoa bila maji, but haisuru.
Isokey
Hiyo brand inaitwa bomb? Na Ash-tray ni ambition ama ushai kanyaga amsterdam? If yes, hekaya pap!
Time umeweka hii post pia mimi nilikuwa kwa hio line ya Nakumatt Likoni. Saw a couple of people on their phones. Inaonekana ulikuwa mmoja wao! Service was very slow. Sasa gauge imepanda…lakini pombe hio inakwisha…
Hata wewe unakosa kueka mbisha??? o_O