Men loving women out of pity. Ingelikuwa ni jamaa amechomeka hata sikio.. sidhani huyo mwanamke angelimchagua, kama angelikuwa na ngozi laini isiyo na kasoro"
Nikama wanaume huwa hawana option bora dem amejipa..
Kwa ufupi.. “kumpata mwananmke ni shida kwa wanaume wengi so they settle na yule amemkubali” wengi huwa hawana standards bora utelezi upo.
Hisia zetu wanaume kwenda kwa kike huwa ni za kihalisi jinsi tunavyopendwa na wazazi wetu.
Viumbe ambao wanaweza kupendwa hivyo pia ni wanyama wa nyumbani na pia watoto.
Mwanaume kama huna kitu kwa mfuko utaambiwa mkono mtupu haulambwi.
Mara nyingi nimewaona wanaume waliopoteza uwezo wa kutembea na kufungwa kwenye viti vya magurudumu na kutelekezwa. . .
Watu hao watakueleza kwa uwazi taswira halisi ya utu wa mwanadamu.
Nimestruggle sana kuandika hii text @xuma, njoo na kalamu nyekundu ya kusahihisha.