Range Rover L405.

Mimi Huwa nimekufia hii gari completely. Shiet!! Toyota is king lakini hapa naweza compromise haraka sana. Iko ndai inaona hii kwa looks kweli aside from the new one?

Hio ni Ksh 2,500,000 max SIZE=4[/SIZE]. Dont be conned eti ni 10m.

zee ndugu. Hii gari does not come cheap. Cheapest nimeona pale beforward karibu 100k miles inachezea 5m before tax.

Hizi ni zile za interpol??.. Juzi zime patikana Uganda mingi sana… Looks like a good deal though.

2014 not allowed in .ke. Check price for 2016 onwards.

Ata Eugene Wamalwa alikua na moja ya ugondi. Ngumo rode one for years after inecgitwa from Moi. Joho usilete sana

That’s the normal price in the UK. Uganda doesn’t have 8yr age limit so easier to import them into Uganda.

Endless money pit

Shida tupu. Buy a Landcruiser instead

Discovery 4 landmark will do

Luckily those who can afford to buy it can also afford to toss money into that pit.

Heri V8 mara thao. Hii gari na shida ni kama Ruto na promises